
Tulikaa na kuanza kula hapo anajifanya kuwa na mahaba nikawa namuangalia tu , tulimaliza kula nikatoa vyombo na kupanda kitandani , kichwani niliwaza kufanya nilichokusudia nikaona hapa tunaweza kugombana kwahiyo kuepusha ugomvi inabidi nitumie njia ya kiutu uzima. Alipanda kitandani na kuanza manjonjo ya kutaka chakula cha usiku ,nikaona nitumie njia hiyo kujua alikuwa wapi. Basi bwana nikampa ushirikiano vizuri mchezo ulipoanza nikashika usukani na kuanza kulipeleka gari kiufundi zaidi ,mtoto wawatu utamu ukamkolea nikaongeza viungo mpaka ikafika mda akaanza kunena hapo sasa nikaona niulize maswali yangu huku nikiwa na uhakika hawezi kuicontro akili yake kwa wakati huo. Bwanaee nilivyouliza
0 Comments