
Kwa kuwa nilikuwa sina usingizi nikajikuta naendelea kuchati na mubaba tu nikamshukuru sana asante sana kwa moyo wako wa kujali asante, "Usiwe na shaka sisi wote ni wasehemu moja vijiji jilani tupo nyumbani lazima tujaliane " Nikaguna tu alafu nikaishia kusema asante, mala binti mdogo alishtuka na kuanza kulia kwa sauti kubwa mama mama basi nikaacha simu na kuanza kumbembeleza mtoto basi haya lala lala weee nilimbembeleza na mimi usingizi ukanipitia tena wa nguvu Nilishtuka kwa ndoto mbaya sana nikacheki saa majira saa saba na nusu usiku muda huo kwote kulikuwa kimya sana nilijibembeleza kulala lakini wapi nnje sauti za
0 Comments