HATARIIIII SEHEMU YA "2"❤️❤️❤️❤️❤️❤️ basi nikachukua kile kinamba my wenu

HATARIIIII  SEHEMU YA "2"❤️❤️❤️❤️❤️❤️  basi nikachukua kile kinamba my wenu

nikafika nyumbn sasa kaka kila mda anauliza umeandikiwa dawa gani me najiuma uma tu my wenu sielewi nijibuje basi badae nikamwambia mama anipe hela nikanunue dawa nmeisahau jina ila nikifika supermarket taijua alafu anipe na cm ake kipindi hiko sina cm hata alaf nikifika nimpigie nimwambie bei yaani nilijiuma uma ilimradi anipe cm basi ile kunipa cm nikamtext hellow elias its skyler kidogo tu akapiga akanambia waoooh unataka kujua jina la dawa basi dawa za kaka zilitosha kabisa ila nilitaka unitafute basi nikamwambia mwenzako nmedanganya nyumbn na hii cm ya mama angu nmechukua apa nipo njiani naenda duka la dawa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments