.jpg)
0742133100" Mlinzi ashaambiwa mimi ni mke ninatakiwa kuheshimiwa kama anavoheshimwa Rouhy...amri yangu aliitii haraka iwezekanavyo.. Alimwachia yule msichana akaja mpaka ndani.... alienda moja kwa moja alikosimama Rouhy akataka kumuwasha kibao Rouhy akamstopisha🤔🤔.. 🗣🗣Rouhy wewe ni mbwa alianza kutukana🙁🙁then akamove kunifuata mimi Rouhy akamwambia usijaribu kumgusa mwanamke wangu nitakupoteza🫰.. What???... Rouhy akamwambia get out🫰🫰 oh sijui nini akarudia 🗣🗣get out na iwe mara yako ya mwisho kuleta sura yako hapa🥺🥺.. Rouhy I'm your wife🥹🥹uliniahidi utanioa sijui nini na nini lolo alianza kulia hataki kuondoka😂😂😂nacheka kama mazuri.. Rouhy alimuita mlinzi akamwambia beba hii takataka upeleke nje lolo usijaribu kucheza na ndoa yangu
0 Comments