PAKA WA MAMA KIZIBO SEHEMU YA SITA.

PAKA WA MAMA KIZIBO  SEHEMU YA SITA.

Miaka kadhaa nyuma kampuni ya Multnational Oil Productions Indusries iliomba kibali na ikaruhusiwa kuwekeza nchini kwa kujenga kiwanda cha kuzalisha mafuta ya kula ya aina zote kutumia mbegu za mafuta. Wataalamu wa kampuni hiyo walifikia uamuzi wa kuwekeza katika sekta hiyo baada ya kutembelea mikoa karibu yote nchini na kukuta imejaa fulsa za uzalishaji wa mafuta ya kula. Kwanza, walikuta zaidi ya nusu ya mikoa yote inazalisha karanga, alizeti, ufuta, nazi, chikichi na mboga za majani ambazo wangeweza kuzalisha mafuta kwa wingi. Pili, walikuta kuna uhitaji mkubwa wa mafuta ya kupikia na hivyo kuwa na uhakika wa soko la ndani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments