I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"

I LOVE YOU DADY💘❤️💘19 "By Babie Love 0742133100"

Nilitoka kule chumbani nikashuka chini floor ya chini sebleni nikamkuta Rouhy bado yuko pale sebleni na amesinziaaa🙄 asa huo mzigo umetoka wapi???.. Nilitamani kumwamsha Rouhy nikasema hapana acha tu niende mwenyewe nikauangalie huo mzigo ni mzigo gani??? Nilifungua mlango nikatoka nje nikatembea mdogo mdogo mpaka getini nimefika getini mlinzi akaniambia madame kuna mgeni wako.. Nikasema okay mruhusu aingie... mlinzi alifungua geti tena geti kubwa mmhhh mbona anafungua geti kubwa inamaana huyo mtu ni mnene sana??? Baada ya geti kufunguliwa nikashangaa range nyieeeeeee😴😴😴niliikimbilia gari nikaenda kuiwow💃🏼💃🏼💃🏼 kumbe kweli zile funguo ni za hii gari🥰🥰🥰nilifurahi mnoooo yule mtu wa Derivery alinikabidhi funguo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments