
Jack ndio jina langu ni binti wa miaka 21 ktk harakati zangu za kutafuta mkate wa Kila siku kwaajili ya kukidhi mahitaji kadha wa kadha.Nikakutana na kijana mmoja aitwaye Bernad eeebwana story ikawa Ivo Bernad: Habari mdada mzuri Mimi: nzuri tuu Bernad: sorry nimekua nikiwa mteja wako karibia Kila siku lakin umekua busy Sana naomba inisaidie no yako Nina shida na ww pengine ninaweza kua nakupigia kwaajili ya biashara Mie Tena mtoto wa kichaga ninavyo ipenda biashara yangu chap nikaanza mtajia no 0766.........90 Bernad:: owky Asante sana dada mzuri nisave jina gani mamy! Mie: naitwa jack hata ukisave dada j
0 Comments