
ila Edward akaniangalia kisha akasema" unaweza kwenda kupata angalau chakula cha jioni na mimi, nataman kukaa na wewe kwa muda mwingine zaidi.. Sikutaka kubisha, tukaenda kwenye mgahawa mmoja na kuagiza chakula, wakati huo ilikuwa ni saa moja sijui ndio usiku au jioni, na baada ya kuagiza chakula, mara kuna mtu na bwana ake wakaanza kupoigana na kelele zikaanza, nikaanza kumuona Edward anashika kichwa, nikamsogelea tukawa tunaangaliana, kisha nikaanza kumpapasa kichwa tukiwa tunaangaliana nikashangaa anapoa, kisha sijui alipatwa na nini akanikiss, na akajua kuwa lazima akifanya hivyo nitakasirika, hivyo baada ya kiss akaniomba msamaha... kwanini kila nikikutendea wema lazima unikosee Edward
0 Comments