
Mchungaji Joshua Mhlakela kutoka Afrika Kusini ameibua gumzo kubwa baada ya kudai kwamba katika ndoto aliyopata, Yesu Kristo alimwonyesha tarehe ya unyakuo na mwisho wa dunia – akidai inaweza kutokea kati ya 23 au 24 Septemba 2025. Habari hizi zimeenea kwa kasi kwenye mitandao kama TikTok kupitia #RaptureTok, ambapo baadhi ya watu wameanza kuchukua hatua kali kama kuacha kazi au kuuza mali wakiamini dunia iko ukingoni. Lakini upande mwingine, wachambuzi wa maandiko ya Biblia wanasisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kujua siku wala saa ya kurudi kwa Kristo. Historia pia imewahi kushuhudia utabiri mwingi wa aina hii ambao haukutimia. Kwa sasa,
0 Comments