JAMANI BOSS MI NAONA AIBU 🍒🙈💞 1- 5 🚩🚩🚩🚩🚩

JAMANI BOSS MI NAONA AIBU 🍒🙈💞 1- 5 🚩🚩🚩🚩🚩

Maisha muda mwingine ukisema uyaelezee kwa ukubwa unajikuta hata hujui wapi unaanzia na wapi unamalizia. Kwasababu wengine maisha yametupitisha sehemu ambazo hata unajiuliza hapa nimepita vipi. Unajiuliza imekuaje nimevuka hapa. Na hivyo hivyo ndivyo mimi Ndeana ninashindwa kufunguka na kuelezea zaidi. Ila kwakuwa ninatamani wanawake wajifinze kutoka kwangu. Nitasema ingawa sijui nitasema mangapi maana ni Mengi sana, naahidi nitapita hatua kwa hatua. Kituo kwa kituo mpaka pale nitakapoona kuna watu wananielewa mimi kwa uzuri kabisa. Ndotp ya kila mtu ina gharamiwa, unaweza kugharamia ndoto yako kwa muda, pesa na utu wako uamuzi ni wako. Kwa maana ndoto si ile unayoota

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments