MJEDA TARATIBU BASIIII SEHEMU YA KUMI NA TANO

MJEDA TARATIBU BASIIII SEHEMU YA KUMI NA TANO

_________________________________________ Niliona anaongea ujinga tu niliingia bafuni nikavaa, nikatoka kuja kulala uku natetemeka vibaya mno, aliona ninavyoogopa, akasema” acha uoga utanizoea tu lala leo ata sikukugusi, sikuwa namuamini ata kidogo, nililala kwa mashaka mno, kuna muda ilikuwa usiku wa saa 8 lakini Kwa ule uoga bado sikuwa nimelala kabisa… Alijigeuza tu ivi kidogo nikapiga kelele mpaka akashtuka na kunitizama Kwa mshangao, vipi unatatizo gani, nikamtizama chini kwanza ndo nikajibu nilizani unataka kunivuta, �� Mariam ivi uko sawa kweli wewe, yaani muda wote huo wewe hujalala unawaza kuvutwa? … Unahitaji msaada sio bure wewe, Mimi najua umelala kumbe mwenzangu uko LINDO,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments