JAMANI BOSS USIWEKE 💘EP 3.--4

JAMANI BOSS USIWEKE 💘EP 3.--4

Nilibaki nawaza au katafuta tu mbinu ya kunitoa kwenye kesi ya uongo kwa bibi🤔, niliwaza mpaka nikapitiwa usingizi, nimekuja kuamshwa na bibi saa 3 usiku tayali, nikaamka, naambiwa nikaage wageni, nilitoka nakuta mwenyekiti, na mzee jilani yetu na Boss, wengine niliwasalimia wakawa wananipa hongera ata sielewi hongera ya kusema uongo au 🤔, Boss kakaa tu kimya, walivyoondoka apo adi kula wamekula tena Bibi kachinja kabisa jogoo wake, na jike, na wapishi ni pili rafiki yangu na mama ake... Niliambiwa nisindikize mwenzangu, nika🙄, mbona sielewi nikaamua kumtoa Boss, ata hakuwa anaongea ni kimya kimya tulivyofika kwenye gari, nilimtakia safali njema akaniuliza,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments