
" Unavyomzania mimi nazani sivyo, ngoja tujipe muda ila jalibu hilo wazo langu kwanza tuone matokeo, Boss akujibu kitu akaendelea na kazi zake tu, Amir akaamua kumuacha ajitafakali, upande wangu nilikuwa nafanya kazi uku naimba, naivi ofc yangu niko peke yangu, wengine walikataa napiga sana kelele, bila mdundo mimi kazi sifanyi ata, ila wakati nafanya kazi mawazo ya pumzi za boss yakaanza kunisumbua.... Nikajikuta natamani ata bola angeendelea tu kidogo, wakati nawaza kumbe Boss, uvumilivu umemshinda akaja ofcn kwangu, kagonga kimya akaingia, kakuta nimekas kihasala hasala tu, afu nimepotelea kwenye mawazo,alisogea mpaka nilipo, akanishushia kauni ili kufunika mapaja, ile tu
0 Comments