I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘08

"By Babie Love 0742133100" Bibi baada ya hayo aliondoka zake akatuacha chumbani tukaendelea na mambo yetu... Mida ya mchana tulipomaliza kula lunch mama Rouhy aliniita tuongeee... Nilikwenda kumsikiliza kwanza aliniuliza kama mme nimempenda... nikamwambia ndiyo mama nimempenda🙈🙈🙈 Alifurahi akanikumbatiaaaaaa🙈🙈akaniambia nisiwe na mashaka nitaishi vizuri kama nilivokuwa naishi nyumbani kwetu.. Nilimwambia sawa mama hakuna shida... mama alinitambulisha kwa wanafamilia ambao bado walikuwa hawajaondoka pale nyumbani... Akanipa na historia fupi juu ya familia yao basi mwisho akaniambia nikiwa na shida yoyote hata Rouhy akiniudhi nisiogope kumwambia❤️❤️.. niliambiwa pia kuna kuenda honeymoon oyaaaaaa💃🏼💃🏼💃🏼raha iliojeeee tena nikaambiwa nichague nchi nayopenda tuende honeymoon... Nilijikuta tu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments