
Lilian ameshafika, Lilian alimpokea kwa bashasha. Karibu. "Asante, pole kwa kutangulia. "Hata sina muda mrefu tangia nimefika. Wakiagiza chakula wakawa wanakula huku wakiendelea na maongezi. Siku zote walizokuwa waliona Lilian na Romex, Lilian alikuwa mpole, mwenye aibu, muda mwingi alikuwa Bize na simu yake. tabia zake zilikuwa tofauti na Salsa ambae alikuwa muongeaji na mwenye ushawishi wa kutamani uendelee kukaa nae. Siku zilizidi kwenda salsa alikuwa Bize na kazi zake hakutaka kabisa kuendelea kuwa na mazoea na Romex hata alipompelekea chakula Salsa alikipokea tu lakini hakuwa na furaha nacho kama zamani na wakazi mwingine alikuwa anagawa kwa watu wengine. Siku
0 Comments