
hakuwahi kuimiliki. "Umesema hii ni simu yangu mimi? "Ndio "Asante sana, barikiwa sana shemeji...... "Simu usijifanye ukamwaga sifa na kutoa vyeo ambavyo havipo. Alafu sema Leyna kisha akamshika mkono Abisai wakaondoka. Siku zilisigea mbele Abisai akawa anafika nyumbani kwakina leyna mara kwa mara na walikuwa wanaongea sana na Leyla kuhusu mwenendo wa Leyna. Kwakuwa Leyla nae alikuwa anatamani ndugu yake abadilike basi alikuwa bega kwa bega na Abisai, Leyna alipokuwa anafanya mambo yake ya ajabu alimwambia Abisai. Abisai alikuwa alinyoosha. Hatimae hali ilianza kubadilika leyna alibadilika, aliacha mambo yake ya kutoka ovyo pia alipungiza. marafiki waliokuwa wakimpotosha. Siku moja Abisal
0 Comments