
na kwa upande wa Leyna wala hakukoma aliendelea kufanya mambo yake kwa kujificha ficha. Alikuwa akitoka na marafiki alizima simu yake na kuiacha nyumbani. Kesho yake Abisai alipouliza sababu za kutokuwa hewani Leyna alimwambia alizima hakuwa anataka kusumbuliwa. "Leyna unataka kuniambia huwa kuna watu wanajisumbua sana nyakati za usiku?na hao watu ni wakina nani? "Sijamaanisha hivyo. "Kumbe ilimaanisha nini? Leyna alitafuta jibu la kujitetea lakini hakupata. Leyna michezo inayochezwa ipo siku. itakughalimu, taratibu na moyo wangu sitaki majereha ya moyo, sihitaji kuumizwa. Alafu sitaki kutumiwa simu usiku kama simu yako itakuwa na tatizo basi nitanunua nyingine ilimradi tubnikupate. "Unajua kila
0 Comments