
mdomoni kwake ananivuta karibu yake na kuanza kuniromance upya💋 Babe💋💋aaaaaaaa imetosha jamani💋💋nilimwambia huku nikiwa hoi taabani mwili ulikuwa wa moto sana yani nilikuwa natamani tu kukunwa mwenzenu🙈 Hemed aliniangalia usoni mwangu akiwa na hisia kali sana aliniambia Bella nakupenda lakini nahisi we haunipendi🥹🥹.. Tafadhali usiseme hivo ni kwanini unaongea hivo.?.. Ni kweli nachokiongea naona kabisa hunipendi ni kama nakulazimisha uwe na mimi🥹🥹.. Nakupenda sana Hemed sijui hata nifanye nini ili uniamini kuwa nakupenda.. Ungekuwa unanipenda wala usingempost mwanaume wako nimuone umeniumiza sana 🥹🥹.. Nilipiga goti chini maana niliona kabisa ile ishu inamuumiza Hemed kinyamaa na ishu yenyewe hata haiko vile
0 Comments