JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna

JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO Chapter 9 Abisai alikuwa kama mtu akuechanganyikiwa aliwaangalia kwa zamu, alimuangalia Leyla kisha akarudi kumuangalia Leyna

. "Abisai unafanya hiki? Kabla Abisai hajajibu alifika mama Leyna. Wewe kijana kwanini unamfanyia fujo binti yangu, akikosea nini? Mama naomba hili swala niachie mimi. Alisema Leyna kisha akawageukia watu. Jamani ondokeni basi hatugawi hela hapa. Watu walianza kutawanyika lakini Leyla alijuwa bado analalamika kuhusu simu yake. "Leyla tulia basi, Natuliaje wakati simu yangu imevunjwa na kumbuka simu yangu ni mpya hiyo. *Najua "Usonijinsi kwa mkato nataka simu na haya yote chanzo ni wewe Leyna bila shaka huyu ndio mwanaume wako cha wivu. "Wewe nae sijui unamtangazia nani, si nimemwambia tulia. Usinifikee kwanza mimi sina muda wa kubishana na wewe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments