
. Ilikuwa ni shopping nlyanguvu kama vile mtoto ndio kashazaliwa kumbe ilikuwa maandalizi tu. Wakati wote huo Lilian alikuwa aliwafuatilia huko roho yake ilimuuma kama kidonda, japo alikuwa kwa Romex kwasababu ya mambo yake mengine lakini kwa upande mwingine alikuwa anampenda. Sijui kwanini sikugundua hili mapema sikupaswa niwaache wawe pamoja hawa wajinga. Baada ya kufanya manunuzi wakienda kupanda kwenye gari na kwenda nyumbani kwa Salsa. Hawakuwa na muda wa kupumzika walianza kupanga na kuandaa chumba cha mtoto. Wakiwa wanaendelea kufanya maandalizi ya chumba mara mlango uligongwa. Romex akaenda kufungua mlango akamkuta Domi. *Vipi Domi? * Kuna kitu cha tofauti nimekiona.
0 Comments