JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO EP 04 Abisai alimrudisha mpaka nyumbani kwao

JAMANI NIPE CHANCE KIDOGO          EP         04          Abisai alimrudisha mpaka nyumbani kwao

. *Hakikisha umeingia ndani maana ukitoa tu mguu wako nitajua mtandao wangu ni mkubwa kuliko unavyofikiria. Leyna alishuka kwenye gari kwa hasira na kubamiza mlango. "Uwe na usiku mwema kipenzi changu. Alisema Abisai huku akimuangalia. Leyna alienda kwenye dirisha la chumba chako na kugonga. "Leyla nifungulie mlango. "Wewe nae ni msumbufu siungelala hukohuko. Wewe usiendelee kuichanganya akili yangu hapa nilipo nimesha changanyikiwa vya kutosha. Leyla alinyanyuka na kwenda kufungua mlango. Leyna alimpiga kikumbo na kuingia ndani. *Wewe vipi mbona unanipamia, Leyna hakujibu aliendelea kutembea kwenda. chumbani kwake. Alijikaza kitandani huku akiwa anafyonza fyonza. "Wewe una shida gani? Leyna alinyanyuka akakaa.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments