JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️ 1---5

JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️ 1---5

𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ SEHEMU YA 01 ANZA NAYO....... MIKOCHENI hali ikiwa Imetulia Kabisa Ni usiku yapata Kama Sa Nne Kasoro Kwenye Nyumba Ya Mwanasiasa Mmoja Pia Ni kiongozi wa Selikar Alikua Mezan akipata Chakula Na Familia Yake Familia Ilionesha Ilikua Na Furaha Baba,mama Na Watoto Wawili walikamilisha Familia ya watu wa_nne ******************** Mbali kidogo na Nyumba Hiyo mtaa kama wa Tatu kwenye Ghorofa Moja Refuu Anaonekana Kijana Mmoja Akiwa Juu Kabisa Ya Ghorofa Hilo Mkononi ameshika Bunduki ya masafa Marefu Akiwa Katulia Kabisa Alionekana ni mzoefu na Kazi yake Hakua Na Papara alitulia Kabisa Akiwa analenga Sehem ******************* Mikocheni Hiyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments