JINA: MDOGO WA MKE WANGU MWANDISHI: Kelvin Mlowe SEHEMU YA KWANZA

JINA: MDOGO WA MKE WANGU   MWANDISHI: Kelvin Mlowe SEHEMU YA KWANZA

Usiku ulikuwa umetanda, kimya kilitawala kama vile dunia yote imelala. Saa ilikuwa saa nne kasorobo usiku, lakini mke wangu hakuwa amerudi kazini. Alisema ana kazi ya dharura hospitalini, lakini kila dakika iliyopita, moyo wangu ulizidi kuchafuka. Nilipokuwa nimeshika glasi ya maji nikielekea sebuleni, mlango wa chumba cha wageni ukafunguka. Mdogo wa dada yangu, Sabrina, alitoka akiwa na kitenge kilichombana mwilini, kifua kikiwa wazi kidogo na miguu yake myeupe ikiangaza kwenye mwanga hafifu wa taa ya ukutani. “Unalala?” aliuliza kwa sauti ya chini, macho yake yakiwa yamenitazama moja kwa moja, kama mtu anayetafuta kitu zaidi ya jibu. “Siwezi kulala mke wangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments