
Sikia mimi sina pesa ya bure unajua umenikosesha pesa kiasi gani Yaani umenitia aibu Sasa nakupa offa kama uko tayari Sawa madam niko tayari nipe hiyo offa .sasa leo idadi yako naiongeza badara ya kulala wanaume 5 utalala na wanaume kumi Sitaki mistake ..sawa madam nimekubali Mamaaaaa baada ya hayo kuyaona na kuyasikia Mimi jenn niliogopa mnoo Kumbe madam suzy anauza madada kwahiyo Na mimi ataniuza😪😪😪😪😪 ,,,,👇👇👇👇songa nayo Jenn alijisemea akiwa amesimama kwa mbali kidogo na alipokuwa madam suzy .. baada ya yote Madam suzy alimuita Jenn Jenn njoo binti yangu Sawa madam . Nimekuja ..sasa binti yangu leo natamani
0 Comments