
Basi W/end ilipita nipo zangu home tu. Baba alitoka hospital akarudi kuja kuugulia nyumbani, kidogo hali yake ilianza kuwa nzuri tu sema ndo ana pio pio mpaka basii. J3 niliwaambia akana kaka mi siendi chuo nitakuwa tu nyumbani, hakuna alenigombeza hata. Sasa ile siku ya J3 mi sina hata habari, nimeshasahau habari za TOUR. Mida kama ya sa tatu hivi Eliza alipigizwa simu. Niliitazama tu nikasema mi hata sipokei, najua tu anataka kuniuliza mbona sijaenda huko. Alipiga sana sikupokea, akanitext: "We muongo kweli ulinambia hujalipa kumbe umelipa !!" Mmh nikaguna kwanza yaan nimelipa vipi kiaje sijaelewa text yake. Nikataka kumjibu
0 Comments