
Siku zikaenda na maisha ya shule yakawa yanaendelea kama kawaida, siku ya siku rayana na liam wakaniambia kuna sehemu wanataka niende, nikashangaa narembwa na hata sielewi hata naenda wapi… Tikafika sehemu moja kama ukumbi, na mbele kulikuwa na Sebastian, mimi nilikuwa nje, na baada ya muda nikamuona princess Diana anaingia akiwa na baba yake, nilitaka kurudi nyumban wakaniambia tulia… “ natulia vipi naomba mnioache nikasome mimi mtoto wa maskin, liam akawa ananituliza pale, sasa padre akaanza kufungisha ndoa sisi tupo nje, akaanza kumuuliza Diana Wilson umekupali kuolewa na Sebastian kensley kwa mahari mliokubaliana katika shida na raha, chuki na furaha,
0 Comments