A TOUR TO REMEMBER 10

A TOUR TO REMEMBER 10

nilitoka najilaumu kweli nikaenda mpaka kwa Eliza ,nilijikuta nakuwa na stress za gafla gafla kweli "Na wewe na hivyo vibwana vyako ,ukizubaa vinakulala hivi una habari??" Eliza alianza kunambia wakati ndio namsogelea alipo "Aah wapuuzi tu ,haiwezi kuwa hata kidogo " nikamjibu huku natoa nguo zangu kuingia kuoga wakati huo nimemfikia tayari "Mhu alikuwa anakwambiaje??" "Upuuzi wake tu" "Havina hata hela vinalinga na pesa za baba zao mfyuu, bora utembee na baba zao usije kufanya kosa ku date nao" "Yaan we eliza mh ,kweli akili huna" "Leo hiyo nimekuwa akili sina" "Embu tuachane na hayo kwanza , Eliza Serious kabisa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments