KATIKATI YA CHUMBA CHANGU KULIKUWA NA KABURI Sehemu ya nne.

KATIKATI YA CHUMBA CHANGU KULIKUWA NA KABURI  Sehemu ya nne.

Siku ile sikuwa na namna ilibidi niwe mpole kwa Mama, nikajirudi kwake kwa kumuomba msamaha kuanzia yeye, mume wangu pamoja na wifi yangu. Ilinilazimu kufanya hivi maana sikuwa na jinsi ingawa nilikuwa naumia moyoni lakini ningefanyaje endapo kama nilitaka kumuaminisha Mama kwamba sikuwa na nia mbaya na wala sikutaka kusema lolote baya kuhusu Mume wangu na mpango wake wa kutaka kumuua. Nakumbuka wiki moja ilipita tangu kutoka katika marumbano, Mama aliendelea kuishi pale nyumbani huku akiwa na furaha tu. Walikuwa wakiongea na Sofia, wakipiga story na kupanga mambo mbalimali. Nami nilianza kuona kwamba huenda kulikuwa na utofauti pale nyumbani, huenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments