MPENZI WA DADA S2 SEHEMU YA 33

MPENZI WA DADA   S2 SEHEMU YA  33

MTUNZI RITHA STORIES WHATSAPP 0763 826152 FB RITHA STORIES &HADITHI ZA RITHA SONGA NAYO............... Nilibaki kimya kama dakika mbili huku nikitafakari jibu la kumpa, si mnajua huyu ni boss eeh yaani boss hakataliwi kama vijana wa mtaani boss anakutongoza unamkataa kwa heshima ukijibu hovyo kazi huna. Basi kwa sauti ya upole iliyojaa utii nikamwambia " aaam Abel naomba sana unisamehe kwani s...." hakusubiri nimalize akanikatisha na kusema. "It okay nakupitia mda maana nahisi imekuwa mapema sana kwako so take your time nitasubiri" Nilitabasamu na kuishia kukaa kimya , basi akaniaga na kunipatia elfu 50 madai nitanunua chakula 😏, chakula ninacho

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments