
Albert unasemaje? "Mama mimi tayari ninamke na mtoto yani kifupi ni mme wa mtu, sasa huyu mimi nampeleka wapi? " Albert usinichanganye we mtoto, yani umeoa mimi sijui, afu unatamba unamwanamke mimi huyo simtambui ninaemtambua ni huyu aliekuja mpaka kwangu akatambua umuhimu wa mama, "sasa mama hata ukimtambia inasaidia nini mwenzie ana uhali wa kisheria na moyo wangu pia aya uyo mbona mnataka kunichumia dhambi za bure, kwanza nilishagundua muda tu kama uyu mwanamke ni kibaraka wako ndo nikazidi kumchukia kwanza sio type yangu... Pili hana akili, zipo za darasani tu ila kuhusi maisha ni sifuri, uyu acherewi kutoa siri
0 Comments