
. Sawa shahidi kuona utafika wapi na huyo kichaa wako. *Yani mama sijui wewe ni mama wa aina gani kwangu, badala uangalie furaha yangu na faraja yangu ilipo na kunisapoti mwanao lakini wewe ndio unakuwa mtu wa kwanza kunikatisha tamaa na kuvunja moyo. *Yani kuhusu swala la kichaa nitauvunja moyo wako vipande vipande na kamwe sitakuwa upande wako. Siku zilienda Shania alimaliza uzazi wake na alikuwa anampenda sana mtoto wake na kumuita Ilham na yule mdoli hakuwa na nafasi tena kwake. Shida moja aliyokuwa nayo Shania alikuwa hajui jinsi ya kumbembeleza mtoto wake alipokuwa analia na ikitokea mtu aende kumsaidia
0 Comments