MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️ SEHEMU YA 20* Meneja aliomba nirudi tumalizane ndo niondoke☺️☺️ye ana kichumba chake kule hotelini kumbe ndo unyama anaufanyaga huko chumbani😞😞

MREMBO YATIMA NA KIJANA TAJIRI❣️  SEHEMU YA 20*   Meneja aliomba nirudi tumalizane ndo niondoke☺️☺️ye ana kichumba chake kule hotelini kumbe ndo unyama anaufanyaga huko chumbani😞😞

Niliwaza sana hapa nachomokaje siwezi kuliwa kizembe hivo🤨🤨🤨niliwaza cha kumdanganya kikakosa🤨🤨 Meneja alinishika mkono akaanza kunilazimisha twende chumbani kwake🤨 nilimdanganya niko period akaniuliza kwani tundu ni hilo tu bwana wewe.. Kama uko period utanipa nyuma...wat😳😳😳nikupe nini baba??? Aah sa unashituka nini Bella kwani kuna kigeni nilichokiongea hapo?? Nilijitoa mkono wangu kwa nguvu nikaanza kuondoka meneja alinichefua sana na hiyo kauli ya kumpa nyuma dah💔😰😰.. Alipoona naondoka akachukia akaniambia kesho kabla sijaondoka na huyo mzungu nije ofisini nichukue barua yangu ya kufukuzwa kazi.. Wala sikumjibu kitu nilisepa..nililala usiku huo kesho yake niliamshwa na Romy aliniambia nijiandae haraka niende na beg pale

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments