
na mtoto wake na kila siku alikuwa akienda kuwaangalia na Shania akimchukulia kama rafiki tu Siku moja jioni Shania na shangazi yake pamoja na Shahid ambae alikuwa amempakata binti yake walikuwa wamekaa nje Shania akasema. Shangazi nimepata mchumba Mama Farida alishituka na Shahid alimkazia. macho Unasemaje wewe? Kuna kaka nimeonana nae kwa hil wiki yote ameserna anataka kumchumbia tufunge ndoa haraka sana. anataka Shahidi alimeza mate huku akijaribu kuzula hasira Ni nani huyo mwanaume mjingu ambae ana kutaka ukiwa na mtoto mdogo hivi? Aliongea mama Farida kwa ukali. Lakini shangazi amesema atamlea huyu mtoto Shahidi alinyanyuka na kumpa Shania mtoto
0 Comments