
Shahidi alinyamaza kidogo. Nilmekuuliza nataka jibu Shahid. Mama naomba kesho nije tuongee kwenye simu hatutaelewana. Nataka kesho mapema kabisa uje, yani kabla haujaenda kazini. Baba yako anahitaji kujua hili kwa kina Sawa mama. Shahid alikata simu na kuendelea kucheza na Shania. Kesho yake Shahid aliamka mapema sana huku Shania akiwa Kalala pembeni Akimuangalia na kujisemea. yake Hakuna mtu wa kuvunja upendo wetu Shania, nitapambana, nitakupigania wewe na mtoto wangu sitakubali uwende mbali na mimi. Baada ya kufikiria alinyanyuka akaenda jikoni, alimkuta Tessy anaanza kufanya usafi. *Habari Tessy. *Salama baba kijacho mmeamkaje? Shahidi alitabasamu Salama, vipi umeandaa kifungua kinywa? Bado nafanya
0 Comments