
nilimshukuru Mungu make mama alikuwa hataki kabisa kuacha kazi,tulibeba vitu vyetu tukaondoka hawakujua kama tumejenga hatukuwahi kumshrikisha mtu kabisa, tulihamia kwetu, maji na umeme vyote tulikuwa tushaweka, adi kitanda tulinunua kimoja na godoro moja, nyumba ilikuwa ya vyumba vitatu kimoja self, seble, jiko na store, ilikuwa nzuri sana na Kaka Benny aliitendea haki mno. Basi bwana, tuliamua kufanya biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai, tulianza biashara uku tumefungua ka genge pale pale nyumbani, ka mboga za majani, dagaa, vitungu, yaani vitu vichache vichache vya gengeni, muda huo nikawa nawaza chuo itakuwaje, siku likizi ilifika Dada akaja, nilienda kumpokea, alikuja
0 Comments