POOR BILLIONAIRE* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) Sehemu Ya 16 "Nuru nasema haiwezekani! Lazima ulipie kwa hili, lazima ulipie kwa kuniambukiza kimakusudi, sikubali

!" Damian akiwa na hasira Huku akiwa analia peke Yake Njiani Huku Watu wakiwa wanamshangaa, alikuwa anajiapiza maneno ya kila aina dhidi ya Nuru. Nuru naye alikuwa anasonya kivyake akiwa kwenye geto la rafiki yake!, gafla alisikia Mtu anagonga mlango kwa vurugu!. Basi shoga Yake na Nuru alienda kufungua mlango, alikuwa ni Damiani alizama ndani kwa kumpiga kikumbo yule rafiki Yake na Nuru!. "Heeee!! Damiani umefuata Nini!!? Na kipi kimetokea!??" Nuru akiwa kapigwa na butwaa aliuliza!. "Unauliza nini tatizo Nuru!!? Yaani umeamua kuniambukiza mavirusi Yako makusudi unauliza nini tatizo, Leo nakuuwa we mbwa!" Damian alikuwa na hasira isiyo na kifani!.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments