KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA SABA*

KICHAA NA MIMBA YA BOSS SEHEMU YA SABA*

Shahidi hakuingia tena ndani aligeuza na kwenda qetini kumpokea. Sorry baby "Shahidi hii ni sawa kweli? "Nisamehe Aisha nilipitiwa.... Yani unapitiiwa wakati unajua mpenzi wako nakuja. "Nisamehe bure mama. "Umenikera bwana yani nimekuja na shauku zangu nimekumiss najua nitakukuta uwanja wa ndege kumbe wewe upo tu huku umesimama na kwahiyo yule yule msichana sijui ni nani msichana ndio aliekuchekewesha si ndio? Mmmm baby hebu acha hizi, mbona hubadiliki yule ni msichana wa kazi Tessy. "Kwahiyo anaishi hapa ndani? "Ndio lakini mambo mengine tutaongea badae twende ukapumzike kwanza. Shahidi alimshika wakaingia ndani lakini bado Aisha alikuwa na hasira. "Yani badala ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments