WAKILI HUCHOKI JAMANI ❤ EP 12.

WAKILI HUCHOKI JAMANI ❤ EP 12.

Nilimjibu tu ungekuwa wakupeleka ungeshapeleka, kama uliweza kunibaka bila ridhaa yangu, hio mahali inasubili ruhusa yangu kivipi, Albert aliuza tu " unamaanisha unachokiongea?, sikujibu nilimpushi nikaenda zangu kulala, nilisema nijiegeshe nikiamka napika tu cha usiku tunalala,lakini uchovu ukafanya nikaamka saa 4 usiku, nikakuta Albert ameshapika, nilimshukuru tu make dah, alinikaribisha nikashangaa mmh, nilikaa tukala, nikamuuliza inamaana ulikuwa unanisubiri? " Ndio kuna kazi hapa pia nilikuwa naifanya nikaona nitumie muda huo kusubiri uamke, kwa sababu pia nina hitaji tu kukuomba utoe taarifa kwenu, kesho kutwa napeleka mahali, nimeshaongea na mzee kesho anakuja ili kesho kutwa tupeleke, nilimtizama kama sijamwelewa, nikakausha ata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments