SEHEMU YA SABA* CEO NISAMEHE SIRUDII TENA 7--8

SEHEMU YA SABA* CEO NISAMEHE SIRUDII TENA 7--8

Upande wa Baba na Mama walijiona wakosaji na sio wazazi bora hata kidogo, walilala wakiwa na maumivu makali, kaka aliyamwaga mpaka wakajikuta wanalia wote, kulikucha wakakubaliana wajue muoaji na wapi nimeolewa, wakaanza kunitafuta, nilikuwa bado nimelala,simu iliita Naseer ndie aliisikia akaamka, aliona anaepiga ni mama, akaamua kupokea tu kuliko kuniamsha, alisalimia vizuri tu, mama akasema shida yake, Naseer akajitambulisha, na kuwaambia leo anaondoka na mimi kwanza nikapate darasa na ushauri kwa ajili ya kuweka akili yangu sawa nijitambue kama mwanamke, akaomba waonane baada ya mimi kuwa nimekaa sawa, na kuhusu yeye pia atakaa na mimi uko mpaka niwe sawa, akampa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments