NILIMSALITI MUME WANG NA KUTEMBEA NA KICHAA ANAYELALA NJE YA JENGO LETU NIKAPATA UJAUZITO WAKE NA KUJIFUNGUA MAPACHA BILA KUJUA NI MPELELEZI 🥰03

NILIMSALITI MUME WANG NA KUTEMBEA NA KICHAA ANAYELALA NJE YA JENGO LETU NIKAPATA UJAUZITO WAKE NA KUJIFUNGUA MAPACHA BILA KUJUA NI MPELELEZI 🥰03

"Mke wangu mbona sikuelewi, umeganda kama sanamu kumtazama mama yangu anavyoenda bafuni kuoga shida ni nini?, au kakupandisha hasira unataka kumpiga? Maana nyie wake zetu mnapitia mazito sana kwa hawa mama wakwe zenu lakini usifikie huko sawa?" Aliambia mume wangu Brown baada ya kuniona nimegandisha macho kumtazama bimkubwa wake akielekea bafuni. "Hapana sina nia ya kumpiga usije ukanifikiria tena hivyo kwasababu yule ni Kama mama yangu mzazi, tena ni mama mzaa chema siwezi kumfanyia hivyo ila nahisi Kama tumbo langu laniuma ndio maana nimeganda gafla Kama vile nimepata strock" Nilidanganya lakini ukweli ni kwamba nilikiwa nawaza itakuwaje baada ya mama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments