
, au wale waliokuwa na nguvu za kisiasa, kiutamaduni au kidini. Kwa mfano, tunajua mengi kuhusu Babeli, Ashuru, kupitia vyanzo vya Biblia na baadaye kupitia tafsiri za Wagiriki na Waroma. Lakini tunajua kidogo sana kuhusu simulizi za ndani za Nubia, Ethiopia, au hata Harappa–Indus kwa sababu maandiko yao yalipuuzwa na wana historia wa Kizungu. Hebu fikiria, Danieli 2 na 7 zinatoa maono ya falme nne zinazopishana (Babeli, Umedi-Uajemi, Uyunani, na Rumi). Na kwa hizi falme kuu nne, humwambii kitu msabato, labda kama unataka akuite mpinga kristo. Humwambii kitu kuhusu Nebuchadnezzar na Babeli kama ufalme wa kwanza mkuu, humwambii kitu kuhusu
0 Comments