
Nilijibu tu sijui, nilisemwa mimi nikaonekana mdhambi mkubwa, mbinguni siendi ata kwa kutubu, mama alianza kuwapigia ndugu zake, kaka angu, wadogo zangu, mashangazi yani ikawa tafran,nikikumbuka nikiwaga na pesa mama anakuwaga kipenzi changu sana ila nifulie sasa mmh🙌, waliongea tulijua tu kumaliza nyumba mchezo lazima atakuwa kaiba mme wa mtu huyo, ndio maana anamficha au na lizee listafu ndo limemjengea nilitaka nishangae mwenzetu kawezaje haraka ivo anamjengo kuliko ata sisi wenye ndoa, aliongea mdogo wangu, apo wamekuja wote... Kuna mdogo wangu anaenifata akawambia " lakini sio sawa kumsema Maisha hapangi yeye, na hapa mnajitungia huenda ni tofauti kabisa na kuzalia
0 Comments