MIMBA YA DHARURA 12

MIMBA YA DHARURA 12

Waliongea huku Jayden wakisisitiza kupewa nafasi ya kumlea Tawakal. Lakini jibu la Nadia lilikuwa " Muda ukifika kila kitu kitaenda sawa. Siku zilienda Jayden waliongeza kumjali Tawakal na alionyesha mapenzi ya dhati kwa mtoto alinunua kila kitu kinachohitajika kwaajili ya mtoto. Siku moja watu wakiwa kwenye ofisi zao wakifanya kazi kiliitishwa kikao . " Boss wamerudi anataka kukutana na wafanyakazi wote. Ilikuwa ni sauti ya wafanyakazi. " Kwani Boss alienda wapi? Mbona kila siku yupo . Aliuliza Nadia. " Hassan sio boss alikuwa kwa muda boss mwenyewe ndio karudi na anataka kuongea na wafanyakazi wote. Watu wote waliingia kwenye chumba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments