
👉 Naomba mwanangu simu yako...👇 ( Nikawa nampa bahati nzuri simu yake ikapiga akapokea kabla ajachukua yangu namsikia anaongea) " Yani kwanini unanichanganya upokei simu yangu nilikuwa nachukua simu nyengine nikupigie hapa. " Samahani nilikuwa road kubwa naendesha pikipiki ndio maana sikupokea simu. " Njoo nyumbani. " My Samahani najua nitakukwaza naomba kama game tucheze gest japo nakuwa nacheza chini ya kiwango. " Upo wapi nije. " Nitumie pesa niende kuchukua gest alafu nitakwambia nipo gest gani. " Sawa. ( Mama mkwe akaondoka ananiambia) " Funga mlango. ( Mimi nafunga mlango naona penzi la kijana limemdatisha mama mkwe....nikatulia zangu ndani
0 Comments