
ENDELEA....... "Acha kushangaa nina uhakika nilipokuwa na miaka saba 8 tulikutana kwenye hekalu la Watawa. Hiyo siku ulikuwa umevalia nguo nyeupe....sijui lengo lako lilikuwa ni nini lakini ulifanikiwa kuiba sadaka zilizokuwa zimewekwa kwenye kapu" Mfalme aliongea na kunifanya ni kumbuke, nikiwa na miaka 12 nilifanya hili tukio kwenye hekalu la Watawa. "Kwahiyo Mimi na kuzidi miaka 4 🙄 ni aibu kuzungumza mbele za watu. Kamwe usije kuongea kuhusu Uzee wangu" Niliongea...... "Miaka minne siyo kitu, umebarikiwa mwili mzuri kuliko watu wote wote niliowahi kuwaona....utachelewa kuzeeka" Mfalme aliongea...... Basi tuliendelea kupiga stori za hapa na pale. Mida ya jioni ilipowadia tulirudi
0 Comments