SEHEMU YA KUMI NA MBILI* SINGLE DADDY NA MAMA WA KUKODI💕

SEHEMU YA KUMI NA MBILI* SINGLE DADDY NA MAMA WA KUKODI💕

Dala alibaki kimya akimuangalia Max kwa macho yaliyojaa mchanganyiko na masikitiko, hasira na hata huruma. Max alijaribu kufungua mdomo kusema kitu lakini maneno yakamshinda, aliishia kukunja uso wake na kuchagua kuondoka. Ilipofika usiku shalon akiwa amelala Dala alimfuata Max kwaajili ya kuongea. “Max…” Dala alimuita kwa sauti ya chini, Max akasimama na kugeuka kumuangalia " Naomba muda kidogo tuongee. " Hata mimi nilikuwa nina nia hiyo. Wote walikaa kwenye sofa na Dala akaanza kuongea. “Unajua huwa siwezi kuelewa kwanini unakuwa mkali kwa vitu vidogo. Sijawahi kutoka nje ya mipaka yangu hapa kwako na sioni sababu ya kuendelea kuniona kama mtu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments