
, halafu yeye anasepa, hapo anakuwa amecheza na saikolojia yako. Hapa namkumbuka mtu aitwaye Saladin, huyu ndiye aliyetufanya mpaka tupate game liitwalo Assassin Creed. Huyu mwamba alikuwa na nguvu sana, Muislamu aliyeshinda vita nyingi. Alipambana na maadui mbalimbali, akaiteka Yerusalemu, alipambana na kushinda kwenye vita vingi ila kulikuwa na kundi la watu lilimnyima amani kabisa. Hili liliitwa Nizari Ismailis, walijulikana kama Wauaji wa Magharibi. Hawa majamaa walikuwa wakiiongoza Syria, kiongozi wao aliitwa Rashid ad-Din Sinan, baadaye akajiita Old Man of the Mountain. Kwa kuwa alijua alikuwa na maadui wengi, hasa hao majamaa, akaamua kuliandaa vilivyo jeshi lake la watu elfu
0 Comments