
Huwenda wengu hamjawahi kupitia hili jipya nililopitia mimi kwenye hiki kitu kiitwacho maisha.....wanaume hawa🙌🙌nawaita mara mbili. Si mara moja tena........ 😁manake kwanza nicheke halafu nipoze them niendelee...sasa... Nilipokuwa na miaka mitano niliweza kumuokota mtoto mdogo mwenye miaka minne akiwa katika mazingira ya kutelekezwa. Isingekuwa rahisi kumuacha katika mazingira magumu namna hii. Nilimpa amri dreva wangu amchukue. Nilipomfikisha nyumbani Mama yangu alitaka kunigomea kumpokea mtu niliyemsaidia. Lakini nilionesha msimamo wangu kuwa ni lazima tumsaidie. Alikuwa na jina baya eti Shida, niliamua kumuita Manuu....kwa kifupi nilikuwa kama Mama yake. Nilimlazimisha Baba yangu amuweke darasa moja na Mimi. Katika mambo yote sikuacha kumkumbusha
0 Comments