LOVE 01 Naitwa love ni mzaliwa wa kwanza kwetu na tumezaliwa 3 wakike 2 na kiume 1 wa kiume ndo wamwisho . Sinto anzia mbali ili tusichoshane

LOVE 01   Naitwa love ni mzaliwa wa kwanza kwetu na tumezaliwa 3 wakike 2 na kiume 1 wa kiume ndo wamwisho . Sinto anzia mbali ili tusichoshane

Mwaka 2019 baada ya kushindwana na mzazi mwenzangu nikaludi nyumbani kwetu kwa kuwa akunioa nilivyo pata mimba tu nikajisogeza😂😂 sisi kwetu njombe ila nimekulia morogoro kuna sehem kunaitwa mbingu basi mimi na huyo mwanaume tulikuwa tunakaa sehem inaitwa chita tulivyo shindwana nikaludi mbigu kwa wazazi wangu na mtt wangu wa kike apo alikuwa na miaka 2 tu. Alikuwa anaitwa gradwell basi maisha ya nyumbani yakaendelea baba yangu mkulima na fundi kujenga nyumba mama angu ni mkulima na mfanya biashara ndog ndog kwaiyo kuusu kipato nyumbani kilikuwa cha kawaida tu. wazazi wetu walikuwa wanatupenda sana tena sana si unajua ile mtu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments