MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA 03 Nilimwambia Boss siwezi kuahidi kitu nisicho kijua we niambie kila kitu then baada ya hapo nitaweka ahadi yangu..

MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA 03  Nilimwambia Boss siwezi kuahidi kitu nisicho kijua we niambie kila kitu then baada ya hapo nitaweka ahadi yangu..

Alisema sawa mimi nina kijana wangu ana shida hiyo shida hakuzaliwa nayo imemkuta ukubwani..yupo kama mtoto mwenye utindio wa ubongo kiukweli mwanangu nimehangaika nae sana lakini bado hatujapata ufumbuzi wa tatizo lake.. Nimeamua kutafuta msichana wa kuwa anamwangalia mwanangu nyumbani maana akibaki peke yake tunahofia atakuja kujidhuru maana akili zake hazifanyi kazi kabisa.. Oooh kumbe hilo tu😁😁mi mbona naliweza niko tayari Boss we washa gari tuondoke mi nitamwangalia vizuri kabisa na wala sitokimbia nyumbani.. Asante sana mwanangu alinishukuru sana yule mama baada ya hapo tukaondoka mpaka nyumbani kwake.. Aiseee ni uzunguni kuna hilo jumba bonge moja la mjengo🥰🥵kuna watu wanaishi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments